MCHAINA NEWS TELEGRAM CHANNEL

Jobs At The CITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES

Jobs At The CITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES

The CITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES is committed to attracting and developing first-class staff and students to achieve the challenging goals, targets, the Government and City College have set for training the higher level professional. The following cherished values characterize the work and life of the City College and are ingrained in all those who pass through the College. In fulfilling the Vision and Mission of the College

Description

Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi City (CITY COLLEGE AND ALLIED SCIENCES ) chenye usajili kamili wa NACTE namba REG/HAS/139 na kutambuliwa na WIZARA YA AFYA kinatangaza nafasi ya kazi ya fundi wa PRINTER na PHOTOCOPY MACHINE kama inavyofafanuliwa hapo chini;

VIGEZO/SIFA ZA MUOMBAJI

  • Awe amepitia mafunzo ya ufundi wa printer na photocopy machine
  • Awe na uzoefu katika kazi hiyo miaka isiyopungua mitatu
  • Awe na cheti kutoka chuo kinachotambulika MAJUKU YAKE
  • Kuhakikisha printer na photocopy machine za chuo ni nzima au zipo katika hali nzuri wakati wote.
  • Kukagua machine hizo mara kwa mara

Related Post

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*